Compact ya Marrakech yalenga kuimarisha maisha ya wahamiaji

Compact ya Marrakech yalenga kuimarisha maisha ya wahamiaji

Makubaliano ya Kimataifa kwa Uhamiaji ama Global Compact for Migration yaliidhinishwa wiki hiii katika kongamano la kimataifa lililofanyika mjini Marrakech, nchini Morrocco. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, makubaliano hayo ya kihistoria yanafungua njia...
Yaliyojiri leo Alhamis Septemba 27, 2018, kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Alhamis Septemba 27, 2018, kwenye #UNGA

Viongozi wa Palestina, Israel na Comoro waongea kwenye siku hii ndefu ndani ya baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza na ukatili wa kijinsia ni baadhi ya mada zilizozungumzwa pia. Magonjwa yasiyo yakuambukizwa husababisha asilimia 70 ya vifo...
Yaliyojiri leo Jumatano Septemba 26, kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Jumatano Septemba 26, kwenye #UNGA

Kutoka silaha za nyuklia hadi ugonjwa wa TB, vikaragosi na waigizaji filamu…  Makao makuu ya Umoja wa Mataifa yalipamba moto. Marais wameendelea kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Jumatano tarehe 26 ilikuwa ni siku ya pili ya mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la...
Yaliyojiri leo Jumanne Septemba 25, 2018, kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Jumanne Septemba 25, 2018, kwenye #UNGA

Viongozi zaidi ya 35 wahutubia, ulinzi wa amani wamulikwa, soka yachezwa… Pata taarifa zote kuhusu yaliyojiri leo. Hotuba rasmi Leo ilikuwa ni siku ya kwanza ya kikao cha ngazi ya juu cha baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, mjadala wa wazi ukifunguliwa rasmi na hotuba ya...
Yaliyojiri leo Jumatatu Septemba, 24, 2018 kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Jumatatu Septemba, 24, 2018 kwenye #UNGA

Maadhimisho ya miaka mia ya Mandela, uzinduzi wa mkakati kwa vijana, waimbaji kutoka Korea…   Mikutano ya ngazi ya juu iliyofanyika leo Jumatatu tarehe 24, Septemba imemulika changamoto za kimataifa. Maandalizi yalianza na mazungumzo baina ya Katibu Mkuu Antònio...
Kinachoendelea leo jumatatu Septemba 24, 2018 kwenye #UNGA

Kinachoendelea leo jumatatu Septemba 24, 2018 kwenye #UNGA

Jumatatu hii tarehe 24, Septemba ni mwanzo wa wiki ya mjadala wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa. Viongozi wengi, marais na mawaziri, idadi yao ikiwa kubwa zaidi kulilo miaka iliyopita, wanatarajiwa kuhudhuria mikutano hii. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antònio...