22/10/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Baada ya mikutano ya ngazi ya juu ya Baraza Kuu iliyofanyika mwezi Septemba, kazi za msingi zinaendelea katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York. Kazi hizi hufanyika kupitia Kamati Kuu (Main committees) zake, ambapo maamuzi muhimu kuhusu shughuli na...
21/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
1. Hotuba ndefu zaidi iliyotolewa kwenye Umoja Wa Mataifa? Kwa mujibu wa Kitabu cha Guinness World Records, hotuba kubwa zaidi iliyowahi kutolewa kwenye mikutano ya Umoja wa Mataifa ni ya V.K. Khrishna Menon kutoka India, mwaka 1957. Yaripotiwa kuwa alilazwa...
20/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Kama uliwahi kufuatilia mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, utakuwa umeshaona kwamba baada ya uamuzi wowote, Rais wa Baraza Kuu anapiga rungu. Rungu hilo lenye umbo lisilo la kawaida ni zawadi kutoka kwa Iceland, na historia yake ni ya ajabu… Iceland...
20/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara, Matukio
Kila mwezi Septemba, viongozi wa dunia na watu mashuhuri ulimwenguni hukusanyika jijini New York kwa ajili ya “Kikao cha Baraza Kuu” la Umoja wa Mataifa(UM). Vile vile, kuna vikao vingi vya ngazi ya juu, vikao maalum na vikao vya pembeni vinavyoendelea kwenye makao...
15/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara, Matukio
18 Septemba 2018: Ufunguzi wa kikao cha 73 24 Septemba 2018 Mkutano wa Amani wa Nelson Mandela Kufadhili Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu. [iliyoitishwa na Katibu Mkuu] 25 Septemba – 1 Octoba 2018: Mjadala Mkuu wa kila mwaka 25 Septemba 2018: Hatua kwa...
13/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Unatarajia kuhudhuria mikutano ya #UNGA? Angalia jinsi ya kujipatia kitambulisho maalum yaani ID card. Ufunguzi wa kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinatarajiwa kufanyika tarehe 18, Septemba, 2018. Sasa ni wakati kwa washiriki wa mikutano hii kutoka kwa...