Karibu Umoja wa Mataifa
Lugha:
  • العربية
  • 中文
  • English
  • Français
  • Русский
  • Español
  • Português
  • Kiswahili
  • Hindi हिंदी
  • العربية
  • 中文
  • English
  • Français
  • Русский
  • Español
  • Português
  • Kiswahili
  • Hindi हिंदी
Blogs ya Umoja wa Mataifa
Blogs ya Umoja wa Mataifa
  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Select Page
Mikutano ya Ngazi ya Juu ya UNGA 73

Mikutano ya Ngazi ya Juu ya UNGA 73

15/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara, Matukio

18 Septemba 2018: Ufunguzi wa kikao cha 73 24 Septemba 2018 Mkutano wa Amani wa Nelson Mandela Kufadhili Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu. [iliyoitishwa na Katibu Mkuu] 25 Septemba – 1 Octoba 2018: Mjadala Mkuu wa kila mwaka 25 Septemba 2018: Hatua kwa...
Utahudhuria mikutano ya UNGA? Jipatie  kitambulisho

Utahudhuria mikutano ya UNGA? Jipatie kitambulisho

13/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Unatarajia kuhudhuria mikutano ya #UNGA? Angalia jinsi ya kujipatia kitambulisho maalum yaani ID card. Ufunguzi wa kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinatarajiwa kufanyika tarehe 18, Septemba, 2018. Sasa ni wakati kwa washiriki wa mikutano hii kutoka kwa...
Je, unatafuta taarifa za UNGA kwa ajili ya  mitandao ya kijamii? Pata yanayojiri hapa!

Je, unatafuta taarifa za UNGA kwa ajili ya mitandao ya kijamii? Pata yanayojiri hapa!

4/09/2018 | Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je ungependa kusambaza mada zinazohusu Kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mitandaoni? Hapa utapata taarifa zaidi za jinsi Timu yetu ya Mitandao ya Kijamii inavyoweza kukusaidia. Kwa mara nyingine, wakati wa kikao cha mwaka huu ambao utafanyika katika...
Next Entries »

Recent Posts

  • Compact ya Marrakech yalenga kuimarisha maisha ya wahamiaji
  • Kazi za Baraza Kuu hazikomi
  • Yaliyojiri leo Alhamis Septemba 27, 2018, kwenye #UNGA
  • Yaliyojiri leo Jumatano Septemba 26, kwenye #UNGA
  • Yaliyojiri leo Jumanne Septemba 25, 2018, kwenye #UNGA

Categories

  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
  • Matukio

Migawanyo

  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
  • Matukio
sw
DONATE
  • A-Z Site Index
  • Mawasiliano
  • Hakimiliki
  • Maswali ya mara kwa Mara
  • Fraud Alert
  • Privacy Notice
  • Kanuni za matumizi