Yaliyojiri leo Jumatatu Septemba, 24, 2018 kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Jumatatu Septemba, 24, 2018 kwenye #UNGA

Maadhimisho ya miaka mia ya Mandela, uzinduzi wa mkakati kwa vijana, waimbaji kutoka Korea…   Mikutano ya ngazi ya juu iliyofanyika leo Jumatatu tarehe 24, Septemba imemulika changamoto za kimataifa. Maandalizi yalianza na mazungumzo baina ya Katibu Mkuu Antònio...
Kinachoendelea leo jumatatu Septemba 24, 2018 kwenye #UNGA

Kinachoendelea leo jumatatu Septemba 24, 2018 kwenye #UNGA

Jumatatu hii tarehe 24, Septemba ni mwanzo wa wiki ya mjadala wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa. Viongozi wengi, marais na mawaziri, idadi yao ikiwa kubwa zaidi kulilo miaka iliyopita, wanatarajiwa kuhudhuria mikutano hii. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antònio...
Rungu la Thor laongoza Baraza Kuu

Rungu la Thor laongoza Baraza Kuu

Kama uliwahi kufuatilia mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, utakuwa umeshaona kwamba baada ya uamuzi wowote, Rais wa Baraza Kuu anapiga rungu. Rungu hilo lenye umbo lisilo la kawaida ni zawadi kutoka kwa Iceland, na historia yake ni ya ajabu… Iceland...