Compact ya Marrakech yalenga kuimarisha maisha ya wahamiaji

Compact ya Marrakech yalenga kuimarisha maisha ya wahamiaji

Makubaliano ya Kimataifa kwa Uhamiaji ama Global Compact for Migration yaliidhinishwa wiki hiii katika kongamano la kimataifa lililofanyika mjini Marrakech, nchini Morrocco. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, makubaliano hayo ya kihistoria yanafungua njia...
Kazi za Baraza Kuu hazikomi

Kazi za Baraza Kuu hazikomi

Baada ya mikutano ya ngazi ya juu ya Baraza Kuu iliyofanyika mwezi Septemba, kazi za msingi zinaendelea katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York. Kazi hizi hufanyika kupitia Kamati Kuu (Main committees) zake, ambapo maamuzi muhimu kuhusu shughuli na...
Yaliyojiri leo Alhamis Septemba 27, 2018, kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Alhamis Septemba 27, 2018, kwenye #UNGA

Viongozi wa Palestina, Israel na Comoro waongea kwenye siku hii ndefu ndani ya baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza na ukatili wa kijinsia ni baadhi ya mada zilizozungumzwa pia. Magonjwa yasiyo yakuambukizwa husababisha asilimia 70 ya vifo...
Yaliyojiri leo Jumatano Septemba 26, kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Jumatano Septemba 26, kwenye #UNGA

Kutoka silaha za nyuklia hadi ugonjwa wa TB, vikaragosi na waigizaji filamu…  Makao makuu ya Umoja wa Mataifa yalipamba moto. Marais wameendelea kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Jumatano tarehe 26 ilikuwa ni siku ya pili ya mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la...
Yaliyojiri leo Jumanne Septemba 25, 2018, kwenye #UNGA

Yaliyojiri leo Jumanne Septemba 25, 2018, kwenye #UNGA

Viongozi zaidi ya 35 wahutubia, ulinzi wa amani wamulikwa, soka yachezwa… Pata taarifa zote kuhusu yaliyojiri leo. Hotuba rasmi Leo ilikuwa ni siku ya kwanza ya kikao cha ngazi ya juu cha baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, mjadala wa wazi ukifunguliwa rasmi na hotuba ya...