18 Septemba 2018: Ufunguzi wa kikao cha 73

24 Septemba 2018

  • Mkutano wa Amani wa Nelson Mandela
  • Kufadhili Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu. [iliyoitishwa na Katibu Mkuu]

25 Septemba – 1 Octoba 2018: Mjadala Mkuu wa kila mwaka

25 Septemba 2018: Hatua kwa ulinzi wa amani. [iliyoitishwa na Katibu Mkuu]

26 Septemba 2018:

27 Septemba 2018: Tathmini kamili ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyo ambukizwa. [iliyoitishwa na rais wa Baraza Kuu]