Je, unatafuta taarifa za UNGA kwa ajili ya mitandao ya kijamii? Pata yanayojiri hapa!

Je ungependa kusambaza mada zinazohusu Kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mitandaoni? Hapa utapata taarifa zaidi za jinsi Timu yetu ya Mitandao ya Kijamii inavyoweza kukusaidia. Kwa mara nyingine, wakati wa kikao cha mwaka huu ambao utafanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani katikati mwa mwezi … Endelea kusoma Je, unatafuta taarifa za UNGA kwa ajili ya mitandao ya kijamii? Pata yanayojiri hapa!