Yaliyojiri leo Jumanne kwenye #UNGA

Viongozi zaidi ya 35 wahutubia, ulinzi wa amani wamulikwa, soka yachezwa… Pata taarifa zote kuhusu yaliyojiri leo. Hotuba rasmi Leo ilikuwa ni siku ya kwanza ya kikao cha ngazi...

Kinachoendelea leo jumatatu kwenye #UNGA

Jumatatu hii tarehe 24, Septemba ni mwanzo wa wiki ya mjadala wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa. Viongozi wengi, marais na mawaziri, idadi yao ikiwa kubwa zaidi kulilo miaka iliyopita, wanatarajiwa kuhudhuria mikutano hii. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antònio...

Jifunze taarifa 10 za ajabu kuhusu #UNGA

1. Hotuba ndefu zaidi iliyotolewa kwenye Umoja Wa Mataifa? Kwa mujibu wa Kitabu cha Guinness World Records, hotuba kubwa zaidi iliyowahi kutolewa kwenye mikutano ya Umoja wa Mataifa ni ya V.K. Khrishna Menon kutoka India, mwaka 1957. Yaripotiwa kuwa alilazwa...

Rungu la Thor laongoza Baraza Kuu

Kama uliwahi kufuatilia mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, utakuwa umeshaona kwamba baada ya uamuzi wowote, Rais wa Baraza Kuu anapiga rungu. Rungu hilo lenye umbo lisilo la kawaida ni zawadi kutoka kwa Iceland, na historia yake ni ya ajabu... Iceland...

Mwongozo kuhusu mitandao ya kijamii wakati wa UNGA

Kila mwezi Septemba, viongozi wa dunia na watu mashuhuri ulimwenguni hukusanyika jijini New York kwa ajili ya “Kikao cha Baraza Kuu” la Umoja wa Mataifa(UM). Vile vile, kuna vikao vingi vya ngazi ya juu, vikao maalum na vikao vya pembeni vinavyoendelea...

Mikutano ya Ngazi ya Juu ya UNGA 73

18 Septemba 2018: Ufunguzi wa kikao cha 73 24 Septemba 2018 Mkutano wa Amani wa Nelson Mandela Kufadhili Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu. [iliyoitishwa na Katibu Mkuu] 25 Septemba - 1 Octoba 2018: Mjadala Mkuu wa kila mwaka 25 Septemba 2018: Hatua kwa ulinzi wa...

Utahudhuria mikutano ya UNGA? Jipatie kitambulisho

Unatarajia kuhudhuria mikutano ya #UNGA? Angalia jinsi ya kujipatia kitambulisho maalum yaani ID card. Ufunguzi wa kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinatarajiwa kufanyika tarehe 18, Septemba, 2018. Sasa ni wakati kwa washiriki wa mikutano...